Tanzania inazidi kuwa kitovu cha mikutano ya kimataifa kutokana na usalama na huduma bora za hoteli katika jiji la Dar es Salaam na Arusha. Hii ni fursa kubwa kwa watoa huduma wote katika sekta hii.
Jifunze jinsi sekta ya MICE inavyozidi kukua na namna gani unaweza kunufaika kupitia fursa hizi zinazoletwa na matukio makubwa.