Umuhimu wa Mikutano ya Kibiash...
Mikutano ya kibiashara ina mchango mkubwa sana katika kukutanisha wadau mbalimbali na kujenga ushiri...
Kupata wadhamini katika tukio lako inahitaji ujuzi wa kuandika mapendekezo (proposals) zenye kushawishi na kutoa fursa za kibiashara kwa wanao kudhamini.
Makala hii inaelezea mbinu bora unazoweza kutumia ili kupata udhamini kutoka makampuni makubwa nchini Tanzania, hasa kwenye matukio yenye washiriki wengi.
Mikutano ya kibiashara ina mchango mkubwa sana katika kukutanisha wadau mbalimbali na kujenga ushiri...